MITIHANI YA KIDATO CHA SITA (vi) NA NNE (iv) YABADILISHWA TAREHE.

Tuesday, October 2, 20120 comments

 
 Katibu Mtendaji wa Baraza la Mithihani la Tanzania (NECTA) anapenda kuwatangazia watahiniwa wote wanaotarajia kufanya mtihani wa Kidato cha Sita mwaka 2013 kuwa, kufuatia mabadiliko ya mihula yaliyofanywa na Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mtihani wa Kidato cha Sita uliokuwa ufanyike mwezi Februari 2013 sasa utafanyika mwezi Mei 2013.

Bofya hapa kusoma Waraka wa Elimu Na 5 wa Mwaka 2012 Kuhusu Marekebisho ya Mihula ya Shule za Sekondari na Vyuo vya Ualimu .

Bofya hapa kusoma ratiba ya mtihani wa Kidato cha Sita 2013.
Share this article :

TUPE MAONI YAKO HAPA!!!!

THEFRESH CHAT ROOM

TUFUATE TWITTER PIA!

KAMA UMEGUSWA NA HUDUMA ZETU TUNAOMBA UUNGANE NASI KATIKA PAGE YETU HAPO CHINI BOFYA ''LIKE''

SIKILIZA NA DOWNLOUD NGOMA MPYA YA Wiza man track nisimange

SIKILIZA NA DOWNLOUD NGOMA MPYA YA YOUNG DACH FT YOUNG KILLER!

KAMOYO KANGU~SELE BUNTO ft VOICER! The-fresh entertainment,

.

.
 
Support : Creating Website | Johny Template | Mas Template
Copyright © 2011. THE FRESH 2015 - All Rights Reserved
Template Created by Creating Website Published by Mas Template
Proudly powered by Blogger